Baadhi ya wanufaika wa Mfuko waliotembelewa na Mkurugenzi wanajihusha na miradi ya uzalishaji mali ifuatayo:-
Sambamba na ziara hiyo, Mkurugenzi aliwahamasisha wananchi kujisajili katika ofisi za Tawi ili waweze kupata huduma za nafuu za kifedha zitolewazo na Mfuko.