Mfuko wa Rais wapata kikombe cha Ushindi- maonyesho ya Nanenane-Simiyu
Mfuko wa Rais wapata kikombe cha Ushindi- maonyesho ya Nanenane-Simiyu
Mfuko wa Rais wa Kujitegemea waibuka kidedea kwa ushindi wa nafasi ya Tatu katika ubora wa huduma za Mifuko ya Jamii katika maonyesho ya kitaifa ya Nanenane yaliyofanyika hivi karibuni huko Simiyu.