Katibu Mkuu Ikulu ,Dkt. Moses Kasiluka atembelea ofisi za Mfuko wa Rais wa Kujitegemea jijini Dar es Salaam ambapo alipokea taarifa mbalimbali za utendaji wa Mfuko.
Katika ziara hiyo alifanikiwa kuongea na watumishi wa ofisi za Makao Makuu
.Ziara hii ya kikazi ilifanyika tarehe 25 Julai, 2018.