Muundo wa Mfuko

Mmiliki wa Mfuko huu ni Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Joseph Magufuli.

Mmiliki huteua Bodi ya Wadhamini kwa vipindi vya miaka mitatu ili kusimamia mali za Mfuko.

Shughuli za utendaji wa kila siku zinarabitiwa na kusimamiwa na Mkurugenzi Mtendaji.

Mfuko huajiri watendaji katika kada mbalimbali kufanikisha utekelezaji wa malengo ya uanzishaji wake.